TZ UPENDO KWANZA: GREATINGS TO THE WORLDTZ UPENDO KWANZA IS A RUNNIN...: GREATINGS TO THE WORLD TZ UPENDO KWANZA IS A RUNNING PROJECT WORK WITH ALL PEOPLE WITH AIM ,SPIRIT, AND LOVE TO SPREAD LOVE AND KNOWLEDGE...
nelly ms kama msanii anaamin katika jamii inayomzunguka katika kipaji iman na ujasir kujitoa katika maisha so karibu tujuzane mambo mbalimbali yanayotuhusu
Sunday, March 29, 2015
Wednesday, February 25, 2015
bendera ya wachaga historia iliyopotea
Halmashauri ya Uchaga ilikuwa na bendera yake ambayo ipo hadi leo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, yenye nembo tano kuu:
1- Mlima Kilimanjaro uliochorwa katikati ya bendera ukionyesha mandhari nzuri ya kilele cha Kibo. Kilele cha Kibo kinatoa maji safi na ni kielelezo cha umoja wao.
2- Chini ya kilele cha Kibo, upande wa kushoto wa bendera kuna mgomba wenye ndizi. Hiki ni chakula kikuu cha Wachaga.
3- Upande wa kulia wa bendera ni tawi la mbuni ukiwa na matunda yake. Kahawa ni zao lililowaletea maendeleo.
4- Bendera imezungukwa na matawi ya 'sale' lenye matawi mawili (draceana plant). Matawi haya yamefanya mduara kuzunguka kilele cha Kibo, mgomba wa ndizi na tawi la zao la kahawa. Masale ni mmea unaoheshimiwa sana na Wachaga wote.
Ni alama ya amani. Masale hutumika katika sherehe na shughuli zote za kimila zinazofanywa na Wachaga. Majani yake ni kijani kibichi yanayoonyesha jinsi Kilimanjaro ilivyo na rutuba nzuri inayostawisha mazao ya kila aina.
5- Juu kidogo ya kilele cha Kibo yupo chui ambaye amejipumzisha. Chui ni alama kuu ya mamlaka ya Wachaga.
Hapo awali kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro walikuwepo chui wengi wa rangi nyeusi lakini kutokana na ongezeko la watu pamoja na uharibifu wa mazingira chui hawa wametoweka.
Tuesday, February 24, 2015
mwenyekit wa vijana JKT alazimishiwa penzi
Mwenyekiti wa vijana JKT: Nililazimishwa nifanye mapenzi
HALI bado ni tete kwa mwenyekiti wa vijana waliofuzu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakini wakakosa ajira, George Mgoba kufuatia kutekwa kwake na kujeruhiwa vibaya hivi karibuni na watu ambao bado hawajajulikana.
Mwenyekiti wa vijana waliofuzu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lakini wakakosa ajira, George Mgoba akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
Mgoba ambaye mpaka juzi alikuwa bado amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Ilala, Amana jiijini Dar es Salaam baada ya kujeruhiwa, simulizi yake inaonesha kichwani kumejaa msongo mkubwa wa mawazo kutokana na watu waliomteka kumlazimisha kufanya mapenzi na mwanamke mmoja.
Saturday, February 21, 2015
tangaza biashara yako sasa
matangazo huchangia sehemu kubwa au maendeleo ya biashara au shughuli yoyote iwe kubwa au ndogo matangazo yanafaida kubwa kama unahitaji tangazo la biashara yako wasiliana nasi kupitia njia zifuatazo
0759658283
massawenelson191@gmail.com
tunatengeneza aina zote za matangazo kwa bei nafuu kabisa
radio commercial
television commercial
graphics
brochures
0759658283
massawenelson191@gmail.com
tunatengeneza aina zote za matangazo kwa bei nafuu kabisa
radio commercial
television commercial
graphics
brochures
Saturday, January 31, 2015
MENGI YANATARAJIWA KWENYE KITI HIKI
wakati Mgumu sana kwa mrithi wa kiti cha uraisi
Ni dhahiri kabisa watanznia wanategemea mengi sana wakati huu na ni mengi yame nenwa juu ya serikali iliyo madarakani mrith na mwenye nia na kit hiki safarii yupo na wakati mgumu maana ni mengi ya kubadilisha mengi yanaitajika hekima na serikali yenye ushirikiano mkubwa kinyume na hapo
Tofauti na jinsi mheshimiwa alivyokabidhiwa nchi na mtangulizi wake, Hali inaashiria kuwa tofauti sana kwa jinsi yeye atakavyomkabidhi mrithi wake.
Ni wazi mrithi wa Kikwete atakuwa na kazi ngumu sana kuukarabati mfumo tawala wa taifa hili uliojengwa kwa NEPOTISM, CRONISM na UDINI wa awamu hii ya nne ya uongozi wetu.
Aidha kwa jinsi wengi walioko au wanaodhamiwa na mfumo huu wa awamu ya nne walivyojitajirisha kwa CORRUPT and ILLEGAL DEALS, Ni wazi pia kuwa mrithi ajaye wa JK atapata taabu sana kufanya mambo wasiyoyakubali (Yanayotishia maslahi yao).
Lakini pia Kwenye siasa za kimataifa kuna hofu kuwa huenda safari nyingi zaidi ya mia nne za kiongozi huyu hazikuwa kwa maslahi mapana ya taifa, na hivyo kama mrithi huyo atakwenda kinyume chake pia akasusiwa kwa namna fulani.
NAFASI ZA KAZI (JOB VACCANCIES)
MAEDA CORPORATE SERVICES ON BEHALF OF OUR CLIENT IS INVITING APPLICATIONS FROM SUITABILY QUALIFIED CANDIDATES TO FILL THE FOLLOWING VACANCIES
1.ACCOUNTANT [1]
2.SALES PERSON [2]
3. DRIVER[1]
4.3 WHEEL MOTOR CYCLE DRIVER[1]
5.OFFICE CLEANER[1]
APPLICATION SHOULD BE ACCOMPANIED WITH THE FOLLOWING
1.C.V WITH RECENT PASSPORT SIZE ATTACHED
2.COPIES OF ALL RELEVANT CERTIFICATES
3.COVER LETTER
ALL SHOULD REACH OUR OFFICES LOCATED AT THE COMMUNITY BUILDING ,USA RIVER,LEGANGA BUS STAND OR THROUGH EMAIL :maedaproperties@gmail.com
NOT LATER THAN 7TH FEBRUARY 2015
1.ACCOUNTANT [1]
2.SALES PERSON [2]
3. DRIVER[1]
4.3 WHEEL MOTOR CYCLE DRIVER[1]
5.OFFICE CLEANER[1]
APPLICATION SHOULD BE ACCOMPANIED WITH THE FOLLOWING
1.C.V WITH RECENT PASSPORT SIZE ATTACHED
2.COPIES OF ALL RELEVANT CERTIFICATES
3.COVER LETTER
ALL SHOULD REACH OUR OFFICES LOCATED AT THE COMMUNITY BUILDING ,USA RIVER,LEGANGA BUS STAND OR THROUGH EMAIL :maedaproperties@gmail.com
NOT LATER THAN 7TH FEBRUARY 2015
Saturday, January 17, 2015
mtazamo juu ya vijana na ulevi mpya
kumekuwa na tabia au fkra potofu juu ya mziki wa hip hop watu wengi wakiwa na maoni yao tofauti kuhusu vijana wanaoufanya mziki huu wakionekana ni wahuni waliopoteza mwelekeo nilijaribu kufuatilia juu ya hili nikagundua yafuatayo vijana wanaoufanya mziki huu ndo wanaoandaa mazingira hayo mbele ya wazazi na jamii kwani vijana wanaichukulia kama ndio sehemu yao ya kufanya maovu na sehemu ya kuonyesha uhuni bila kujifunza kwa waliouanza na waasisi wa mziki huo waliokuwa wanahamasisha ukweli wakitetea haki na kufichua matatizo ndan ya jamii hivyo ndivyo ilivyokuwa miaka iliyopita ombi la wazazi na jamii juu ya vijana wanaoufanya mziki huu ni vijana kutumia vipaj vyao kuelezea na kuelimisha jamii juu ya mambo mbali mbali jaribu kufikiria unajtangaza unavuta bangi au we mlevi jamii inakuelewaje familia yako hapo mbele itakuelewaje kama mfano ama vingine tabia nyingine wanaziweza wenyewe wazungu sisi tamaduni hazituruhusu tuzingatie hayo
Wednesday, January 7, 2015
Sunday, January 4, 2015
ata kata zinashonwa
fursa zipo toka zaman hii ni kata ilipasuka lakin fursa ilitumika na kuifanya itumike tena kata nayo hushonwa inapopasuka hulowekwa mpaka iwe lain kisha hushonwa kwa kutumia uzi na sindano ya kushonea viatu na haitovuja na hua imara kama haijawai pasuka hii ndo kilimanjaro hii ndo moshi karibu tena mgeni uliyekuja kuhesabiwa
moto wafanya uharibifu mkubwa
ni siku chache tangu kata ya rau iliyopo wilayani moshi kushuhudia moto mkubwa uliounguza na kuchoma maduka mawili pamoja na chumba kimoja moto huo ambao chanzo chake akijajulikana ulitokea majira ya saa tano kasoro na kuteketeza mali za wamilikliki wa maduka hayo kikosi cha zimamoto kilifika na kutoa msaada eneohilo
Subscribe to:
Posts (Atom)