kumekuwa na tabia au fkra potofu juu ya mziki wa hip hop watu wengi wakiwa na maoni yao tofauti kuhusu vijana wanaoufanya mziki huu wakionekana ni wahuni waliopoteza mwelekeo nilijaribu kufuatilia juu ya hili nikagundua yafuatayo vijana wanaoufanya mziki huu ndo wanaoandaa mazingira hayo mbele ya wazazi na jamii kwani vijana wanaichukulia kama ndio sehemu yao ya kufanya maovu na sehemu ya kuonyesha uhuni bila kujifunza kwa waliouanza na waasisi wa mziki huo waliokuwa wanahamasisha ukweli wakitetea haki na kufichua matatizo ndan ya jamii hivyo ndivyo ilivyokuwa miaka iliyopita ombi la wazazi na jamii juu ya vijana wanaoufanya mziki huu ni vijana kutumia vipaj vyao kuelezea na kuelimisha jamii juu ya mambo mbali mbali jaribu kufikiria unajtangaza unavuta bangi au we mlevi jamii inakuelewaje familia yako hapo mbele itakuelewaje kama mfano ama vingine tabia nyingine wanaziweza wenyewe wazungu sisi tamaduni hazituruhusu tuzingatie hayo
No comments:
Post a Comment