Wednesday, November 19, 2014

kumwagilia kinyesi kwenye mchicha

mboga za majani ni afya ila hii sasa inabidi wauzaji wae na dawa za magonjwa maana hii ni hatari kwa maisha ya mtumiaji mboga zinazolimwa  katika mazingira ya ajabu … sasa baraza la mazingira Tanzania NEMC limebaini kuwa wakulima wa mboga za majani wengi wamekuwa wakitumia majitaka kumwagilia hizi mboga.akisema na itv 
Afisa wa NEMC amezungumza  na kusema; “… Kama Serikali hatuwezi kuruhusu kitu kama hicho.. hatutaruhusu tena kumwagilia kinyesi kwenye mchicha, haturuhusu hicho kitu, hakuna serikali hiyo ambayo itaruhusu vitu hivi…

No comments: