kitaelewka tuu
UVCCM Arusha wamuonya Mbowe na CHADEMA
Leo kwenye mkutano Wa hadhara kata ya Unga ltd mwenyekiti uvccm
martin Munisi amemwonya Mbowe na chadema kuacha kuendeleza mikwara yao
ya kila siku
2010 chadema walisema nchi hii haita tawalika mpaka Leo nchi inatawalika
na maandamano ya m4c yaliishia kwa Mbowe na Lema kulamba pesa za m-pesa
za wavuja jasho
Kama chadema wathubutu kuingia bara barani ile kauli ya pinda itumike kikamilifu wapigwe tuu maana ni wahuni na wababaishaji
Mbowe ni mwongo Kama shetani hapa Arusha kila akiitishaa maandamano huwa
noma ikitokea anakimbia anawaachia vijana wenzetu noma wanakamatwa
kupigwa risasi na kumizwa bure mfano nmc Mbowe na slaaa walisema tunakaa
pale siku Saba massa sita kitendo cha polisi kufika nmc Mbowe alikimbia
toka Arusha mjini mpaka Tengeru kwa Mtei baba mkwe wake
Baada ya mabomu sowetho serikali ilikataa mkutano Wa hadhara chadema
wakalazimisha kufanya mkutano noma ilipotokea Mbowe na Lema walikacha
pikipiki za vijana Wa Arusha na magari yalikamatwa na kupata usumbufu
mkubwa Sana Wa kuzikomboa
Msikubali kudanganywa na hawa wahuni kwani hawana nia mzuri
Katiba haipo huku bara barani inapatikana mjengoni Dom. Kama nikuandamana wakaandamane kwenye jengo LA bunge LA katiba
Chadema na Mbowe ni watumishi Wa wakoloni na nia ya wajerumani nikurudi
kututawala ndiyo maana wanawapa pesa siku sisi tukianza kuuana hapa wao
watakimbilia huko kwa waliyo watuma
Tanzania niyetu sote tusikubali kugawanywa Arusha kwasasa hatudanganyiki
tena Lema akija tena hapa mdaini zile machinga complex na zile
Hosp.tatu aliahidi
No comments:
Post a Comment